Jela miaka mitano kwa kumuua mpenzi wake

Ijumaa, Novemba 17, 2023 Mwandishi mwandamizi Mwananchi Communications Ltd (MCL) Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imemhukumu Wibati Komba kifungo cha miaka mitano jela, baada ya kukiri kosa la kumuua mpenzi wake bila kukusudia, baada ya kumshuku alitoka kuchepuka. Kilichomfanya amhisi hivyo ni manii alizozikuta kwa mpenzi wake huyo alipotaka kumwingilia […]