Aliyesota hospitali miaka 16 akuta nyumba yake haipo, aomba msaada

Muktasari: Moshi. Zikiwa zimepita siku 11 tangu Gazeti la Mwananchi liandike habari ya mgonjwa aliyekaa hospitali kwa miaka 16, Paulo Matemu (48), mkazi wa Kirua Vunjo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro wadau mbalimbali wameguswa na maisha yake na kuanza kumchangia kiasi cha Sh600,000. Matemu ambaye kwasasa anajisaidia kupitia ubavuni, baada ya kupata ajali ya kuanguka […]
Samia Suluhu HassanĀ

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!